Eclesiastes 7

SWHONEN

1 Afadhali sifa nzuri kuliko manukato safi,

2 Afadhali kwenda kwenye nyumba ya msiba

3 Huzuni ni afadhali kuliko kicheko,

4 Moyo wa wenye hekima uko katika nyumba ya msiba,

5 Afadhali kusikia karipio la mtu mwenye hekima,

6 Kama ilivyo kuvunjika kwa miiba chini ya sufuria,

7 Dhuluma humfanya mtu mwenye hekima kuwa mpumbavu,

8 Mwisho wa jambo ni bora kuliko mwanzo wake,

9 Usiwe mwepesi kukasirika rohoni mwako,

10 Usiseme, “Kwa nini siku za kale zilikuwa bora kuliko siku hizi?”

11 Hekima, kama ulivyo urithi, ni kitu chema

12 Hekima ni ulinzi kama fedha ilivyo ulinzi,

13 Tafakari kile Mungu alichokitenda:

14 Nyakati zikiwa nzuri, ufurahi,

15 Katika maisha haya yangu ya ubatili nimeshaona haya mawili:

16 Usiwe mwenye haki kupita kiasi,

17 Usiwe mwovu kupita kiasi,

18 Ni vyema kushika hilo moja

19 Hekima humfanya yeye aliye nayo kuwa na uwezo zaidi

20 Hakuna mtu mwenye haki duniani

21 Usitie maanani kila neno linalosemwa na watu,

22 kwa kuwa unafahamu moyoni mwako

23 Yote haya niliyajaribu kwa hekima, nikasema,

24 Vyovyote hekima ilivyo,

25 Nikageuza fikira zangu ili kuelewa,

26 Nimeona jambo lililo chungu kuliko mauti,

27 Mhubiri anasema, “Tazama, hili ndilo nililogundua:

28 ningali natafiti

29 Hili ndilo peke yake nililolipata:

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado